Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Czeus25 Masele/ukurasa wa majaribio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Uhariri

[hariri | hariri chanzo]

Ninakukabidhi Tuzo ya Uhariri ya Wikipedia kwa juhudi zako za kupitilia kurasa, kukaribisha wageni na kuanzisha makala mapya!

Nimetunza hapa

Tuzo ya Picha Bora

[hariri | hariri chanzo]

Kigezo Kipya

[hariri | hariri chanzo]

left: 1px solid #003300; border-right: 2px solid #003300; border-bottom: 2px solid #003300; -moz-border-radius: 8px; text-align: justify;">

Karibu Katika Ukurasa wa Majadiliano!

Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Czeus25 Masele (majadiliano) 12:44, 26 Agosti 2025 (UTC)

Mapendekezo

[hariri | hariri chanzo]

https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:Mapendekezo

Admin Stats

[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia (sw.wikipedia.org)

[hariri | hariri chanzo]

Generated using XTools on 2025-09-23 12:54

# Username User groups Total Delete Revision delete Log delete Restore (Re)block Unblock (Re)protect Unprotect Rights Merge Import AbuseFilter Content model
Total 300 122 24 0 1 122 1 24 1 4 0 0 1 0
1 WikiBayer global sysop 94 0 19 0 0 74 0 1 0 0 0 0 0 0
2 Czeus25 Masele administrator 68 46 0 0 1 4 0 15 0 2 0 0 0 0
3 Riccardo Riccioni bureaucratadministrator 67 42 0 0 0 17 0 8 0 0 0 0 0 0
4 Masti steward 24 21 1 0 0 2 0 0 0 0 0 0 0 0
5 1234qwer1234qwer4 steward 14 0 0 0 0 14 0 0 0 0 0 0 0 0
6 Tanbiruzzaman global sysop 12 4 3 0 0 5 0 0 0 0 0 0 0 0
7 Justine Msechu interface administratoradministrator 7 3 0 0 0 3 1 0 0 0 0 0 0 0
8 Muddyb bureaucratadministrator 5 1 0 0 0 1 0 0 1 2 0 0 0 0
9 Idd ninga administrator 3 3 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0
10 Johannnes89 steward 3 0 1 0 0 1 0 0 0 0 0 0 1 0
11 A09 global sysop 1 1 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0
12 AramilFeraxa steward 1 1 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0
13 TenWhile6 global sysop 1 0 0 0 0 1 0 0 0 0 0 0 0 0

Picha ya Wiki

[hariri | hariri chanzo]
Mlango wa mbele wa Ngome Kongwe

Ngome Kongwe (kwa Kiingereza: Old Fort; pia inajulikana kama Arab Fort, kwa Kiswahili: Ngome ya Kiarabu na kwa majina mengine) ni boma lililoko katika Mji Mkongwe, mji mkuu wa Zanzibar. Ni jengo la zamani zaidi na kivutio kikuu cha wageni wa Mji Mkongwe. Iko mbele ya bahari kuu, karibu na jengo lingine la kihistoria la jiji, Jumba la Maajabu (Ikulu ya zamani ya Sultani wa Zanzibar), na inatazamana na Forodhani Gardens.Je ungependa kusoma zaidi kuhusu sehemu hii? au ungependa kuchangia zaidi kuhusu mada hii? fungua Hapa

Alphonce Simbu katika mbio za 129 za marathoni za Boston

Alphonce Simbu ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Tanzania. Mwaka 2025 ameandika historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu ya dunia, akimaliza Mashindano ya Dunia ya Riadha kwa muda wa saa 2:09:48. Je ungependa kusoma zaidi kuhusu mtu huyu? fungua Hapa