Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Chacha Mseti Manko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chacha Mseti Manko. Ni mzaliwa wa Tanzania Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime, kata ya nyansincha Kijiji cha Nyantira. Alizaliwa Mwaka 1999/12/12.

Alisoma shule ya msingi Nyantira , Bungurere shule ya sekondari, Tarime shule ya upili, na "St Augustine University of Tanzania" ambapo alisomea ualimu hivyo kwa sasa ni mwalimu.