Mtumiaji:Caroline Mshanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ligi ya Skauti ya Msumbiji[hariri | hariri chanzo]

Ligi ya Skauti Msumbiji (LEMO), shirika la kitaifa la Skauti la Msumbiji, lilianzishwa mwaka wa 1994 na likawa mwanachama wa Shirika la Dunia la Skauti mwaka wa 1999.Ligi ya pamoja ya Skauti ya Msumbiji ina wanachama 31,108 kufikia mwaka 2017, na wanachama wengi walio katika miji mikuu. Skauti Mkuu wa Kitaifa Leonardo Adamowicz anatoka Poland, kwa hivyo sare ya Liji ya Skauti ya Msumbiji inafanana na sare ya Kipolishi, inayokubalika kwa tofauti za hali ya hewa. Kufanana kati ya nembo ya Skauti ya Msumbiji na Skauti ya Poland inaweza kuzingatiwa kwa urahisi pia. "D H P" katika nembo inawakilisha Deus Honra Pátria, Nchi ya Heshima ya Mungu.[1]

Msumbiji ilikuwa mwenyeji wa Jamboree ya 5 ya Kiafrika mwaka 2006, na ilitarajiwa kuwa mwenyeji wa World Scout Moot iliyohairishwa mwaka 2008. Jumuiya hiyo ni mwanachama wa Comunidade do Escutismo Lusófono (Jumuiya ya Skauti Lusophone).

Majereo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://members.scout.org/fr/user/29487?language=ru