Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:CSGinger14

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibuni kurasani pangu! Jina langu la mtumiaji ni CSGinger14. Ninatoka jimbo la Virginia la Marekani. Wakati huu, ninasoma historia ya kimataifa chuo kikuu. Ningefuraha kuwasaidia watu wowote mradi wanipe muktadha na marejeo ninazohitaji ili kuwasaidia kuiandika na kuitengeneza kurasa yao.

Tafhadali mtembelee kurasani pangu pa Wikipedia ya Kiingereza hapa. Samahani kabisa usipoweza kusoma au kuongea Kiingereza, lakini ukitayari kusoma Kiswahili kinachoandikwa vibaya, ningefuraha kukuzumgumza. Tunaweza kuzumgumza na Kifaransa pia kama ungependelea.

Mwalimu wangu wa Kiswahili alinisema Waswahili hawasemi na hawapendi kusema 'kwa heri'. Nikiisema kwa kiingereza, you’re not supposed to say that you ‘miss’ [unamkosa] someone. The point is that you miss (lack) nothing from their absence. Life is just as bright if you remember and cherish the impact they had on you, as well as the value and love brought by those who are still there to support you.

Hivyo, nitamaliza kwa kusema kuwa nakutakia heri, na ninataraji kumwona kurasani hapa tena. - CSGinger14 (majadiliano) 23:19, 11 Mei 2025 (UTC)

Tahariri nilizofanya: Kufuatiwa kutoka ya juu hadi ya chini

Januari 2026

  1. Rakuni - Nilitafsiri sehemu ya kwanzaa ya kurasa ya Kiingereza (+Baiti 3,000)
  2. Venezuela - Tendo sawa (+Karibu na baiti 16,000)
  3. Mildred Christina Akosiwor Fugar - Tafsiri ya kurasa iyozingatiwa kama "aula ya jamii", siamini hiyo ni kweli (+Baiti 3700)
  4. Irani - Mwanzo wa kurasa ya Kiingereza