Mtumiaji:Barnaba Thadeo Mnyemwe
Mandhari
Barnaba Thadeo Mnyemwe ni mtanzania aliezaliwa mkoa wa Kigoma mnamo mwana 2001
Alianza shule ya msingi mwaka 2007 na kuhitimu 2014 katika shule ya msingi msebei
Alipata elimu ya secondary katika shule ya kata ambayo ni Ruchugi secondary kuanzia mwaka 2015 mpaka 2018 na Kupata daraja 4 ya 27
Kutokana na ugumu wa maisha ya wazazi hakuweza kuendelea na masomo akaamua kuanza harakati za biashara
Msimamo wangu na imani yangu hakuna lisilowezekana chini ya jua