Mtumiaji:Ahabu


Ahabu Godfrey Ng'umbi (Ahabu) ni Mtanzania amezaliawa 13September...katika wilaya ya kibaha mkoa wa pwani.
Historia ya Familia
Tumezaliwa watoto watano wa kwanza akiwa ni wa kike ambaye ni Dada mkubwa anaefata ni wa kike amaye pia ni Dada anaefata ni Kaka baada ya hapo mimi ni mtoto wa nne baada ya hapo anaefata ni wa kike ambaye ni mdogo wa mwisho.
Historia Elimu
Elimu 1. Amesoma shule ya msingi katika shule ya Mbuyuni iliyopo mkoa wa Tanga wilaya ya Tanga mjini 2. Amesoma elimu ya Sekondari katika shule ya mkwakwani iliyopo Tanga wilaya ya Tanga Mjini 3. Amesoma Advanced level katika shule ya Sekondari Galanos Mkoa wa Tanga wilaya ya Tanga mjini (Pcm) 4. Amesoma chuo cha DIT yaani Dar es saalam Institute of Technology kozi ya Uhandisi Mitambo (Mechanical Engineering)
Ahabu Godfrey Ng'umbi
[hariri | hariri chanzo]'Ahabu Godfrey Ng'umbi (Ahabu) is a Tanzanian born on 13 September 1997 in Kibaha District, Coast Region. Education 1. He attended primary school at Mbuyuni School, Tanga Region, Tanga Urban District 2. He attended secondary school at Mkwakwani School, Tanga Urban District 3. He attended Advanced level at Galanos Secondary School, Tanga Region, Tanga Urban District (Pcm) 4. He attended DIT, Dar es Salaam Institute...') Mechanical Engineering by proffesional