Mtumiaji:Agaton Msimbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa wa MOROGORO huu ni moja kati ya mikoa ya kihistoria nchini tanzania pamoja na barani afrika kwaujumla.ambapo, mbunge wake wa kwanza ni mwasisi wa taifa hilo mwl.hayati julius kambarage nyerere ambaye pia ndiye waziri mkuu na raisi wa kwanza wa tanzania.mkoa huu barani afrika ulitumiwa na nchi mbalimbali wakati wa harakati za kupigania uhuru wa mataifa hayo:ikiwemo afrika ya kusini ambayo iliweka kambi zake za wanajeshi,eneo la mazimbu,waliokuwa wakijiandaa;kufanya mafunzo;mbinu na mikakati ya kuuondoa utawala wa makaburu nchini humo.sambamba na hayo mkoa huu pia ni moja kati ya mikoa mikubwa nchini tanzania yenye rasilimali nyingi za kiuchumi kamavile misitu mikubwa mf.minguti;mbuga ya mikumi;mito mf.mto mgeta;pia kabila lenye watu wengi mkoani humo ni Rugulu: wakaziwake wanajihusisha na kilimo,ufugaji,biashara,utamaduni,elimu,miundombinu ya kijamii,na siasa. pia mkoa huu unatarafa,kata,na vijiji mbalimbali mf.mgeta,mlali,bunduki,lusungi,nyandira,kibuko,lumba,kitengu,chenzema,langali,mwalazi,kikeyo,matombo,kisaki,sesenga,mngazi,kisaki,mikumi,mvomero,nyachiro,kibuko,mzumbe,kasanga,chamwino,k.ndege,sabasaba,mafiga,tungi,bigwa,kiloka,kihonda,lukobe,mazimbu,dakawa,mwembesongo n.k. MGETA ni tarafa ya mgeta, ambapo,wakazi wake wanashughulika na masuala mbalimbali yakiwemo kilimo,biashara na ufugaji,HAPO NDIPO NILIPOZALIWA.