Mtumiaji:Adamore Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adamore Tanzania[hariri | hariri chanzo]

=== Adam hamis gama ===(Adamore Tanzania)ni mwanamuziki kutokea East Africa(TANZANIA).Adamore Tanzania alizaliwa Tarehe.3 Desemba 1992,akiwa ni mtoto wa tatu kwenye familia ya watoto watano(5),ikiongozwa na marehem mzee Hamis Gama na mama yake Hafsa gama,ambaye ni mfanya biashara ndogondogo za barabarani.

Adamore Tanzania ambaye pia aliwahi kupitia kituo cha kukuzia vipaji tanzania maarufu kama(THT),alianza kuupenda muziki akiwa shule ya msingi darasa la tano,katika somo la STADI ZA KAZI,ambapo aliweza kutengeneza kikundi shuleni na kutunga nyimbo ambayo wanakikundi wenzake akiwemo na yeye waliiwasilisha kama mtihani wao wa STADI ZA KAZI,na kupewa alama100.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Adamore Tanzania aliweza kupata elimu yake katika shule msngi KURASINI(darasa la kwanza mpaka la pili)na kuhamishiwa shule ya msingi MINAZINI (darasa la tatu mpaka la nne),shule zote zikiwa wilayani TEMEKE,DAR ES SALAAM,TANZANIA,darasa la tano alisoma shule ya KEREZANGE,na darasa la sita na la saba alisomea shule ya JITIHADA,zote zkiwa wilaya ya ILALA,DAR ES SALAAM,TANZANIA.

Adamore Tanzania alianza kidato cha kwanza shule ya sekondari,DAR ES SALAAM,kariakoo mtaa wa gerezani ILALA,DAR ES SALAAM,TANZANIA,kidato cha pili akahamia shule ya sekondari KITUNDA,kutokana mzazi wake kukosa nauli ya kumpa kwenda shule kila siku,ilibidi asome karibu na nyumbani,ambapo aliweza kuhitimu kidato cha nne,hakuishia hapo alienda nchini UGANDA kusoma mambo mbalimbali.

Muziki na vikwazo vya kifamili[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kurudi nyumbani akitokea nchini UGANDA,Mama yake alimsihi atafute kzi ya kufanya,na yeye akamwambia anafanya kazi ya muzki,kulikua na ugomvi mkubwa baina yao,

Muziki Rasmi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kurekodi nyimbo zake rasmi chini ya mtayarisha muziki Nasreel Daffa(DaPro),mwaka 2012,ametoa wimbombo wake wa kwanza unaoitwa SO BEAUTIFUL,mwaka 2015 na kuufanyia video,na hiyo ndio ilimpa mama yake moyo wa kuwa mtoto wake anafanya kazi nzuri.