Mtozaushuru
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Mtozaushuru ni mtu anayefanya kazi ya kukusanya kodi au ushuru kwa niaba ya serikali.
Maarufu sana ni Wayahudi ambao walifanya kazi hiyo kwa niaba ya Dola la Roma na kwa ajili hiyo walitazamwa na wananchi wenzao kama wasaliti wa taifa na wakosefu wakubwa mbele ya Mwenyezi Mungu. Hata hivyo Yesu aliwatendea kwa huruma ili kuwaokoa, hata akamuita mmojawao, Mathayo, kuwa mtume wake.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtozaushuru kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |