Mto Semu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Semu unapatikana katika mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania, kilometa 290 kaskazini kwa mji mkuu, Dodoma.

Ni tawimto pekee wa mto Sibiti unaounganisha ziwa Eyasi na ziwa Kitangiri.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 3°59′S 34°23′E / 3.983°S 34.383°E / -3.983; 34.383