Nenda kwa yaliyomo

Mto Sanje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Sanje ni mto wa Tanzania ambao ni tawimto la Ruaha Mkuu ambao unapitia Iringa na tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Mto Sanje ni kivutio kikubwa sana katika Hifadhi ya taifa ya Udzungwa, kwa kuwa una maporomoko ya maji yenye urefu wa mita zipatazo 170 yakianguka kupitia msituni na kututa mithili ya mianzo ya ukungu bondeni.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]