Nenda kwa yaliyomo

Mto Oueme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mdomo wa Oueme kwenye bahari.
Ramani ya njia ya Oueme.

Mto Oueme ni mto nchini Benin[1].

Chanzo chake kinatoka kwenye milima ya Atakora. Mto Oueme unaishia kwenye bahari ya Atlantiki.

Mto Oueme una urefu wa kilomita 510. Mto Oueme unapita katikati ya miji ya Carnotville na Ouémé hadi kwenye bonde kubwa la Ghuba ya Guinea karibu na mji wa bandari wa Cotonou.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.geonames.org/2392326/oueme.html

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Oueme kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.