Nenda kwa yaliyomo

Mto Ngunguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ngunguni unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]