Nenda kwa yaliyomo

Mto Ndwagasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ndwagasa ni mto wa mkoa wa Mwanza (Tanzania kaskazini magharibi) ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto Naili.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]