Nenda kwa yaliyomo

Mto Mwaru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mwaru ni jina la mito miwili ya mkoa wa Singida (Tanzania ya kati) ambao walau mmojawapo ni tawimto la mto Wembere unaotiririkia ziwa Kitangiri.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]