Mto Mutonga (Tharaka-Nithi)
Mto Mutonga (Tharaka-Nithi) unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mutonga (Tharaka-Nithi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |