Mto Muthira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Muthira unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]