Nenda kwa yaliyomo

Mto Mambatini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mambatini unapatikana katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]