Nenda kwa yaliyomo

Mto Kithui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kithui unapatikana katika kaunti ya Isiolo, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana ambao unaingia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]