Nenda kwa yaliyomo

Mto Ena (Embu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ena (Embu) unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]