Nenda kwa yaliyomo

Mtindo wa kiapokalipti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Woodcut image of Daniel, sleeping, while four beasts watch.
Danieli akiwa amelala usingizi na kupata njozi ya wanyama wanne.

Mtindo wa kiapokalipti ulikuwa mtindo wa uandishi ulioanza kati ya Wayahudi wa Uhamisho wa Babeli, hasa nabii Ezekieli, na kuendelea hata kwa Wakristo wa kwanza. Kitabu cha Danieli ni kilele cha mtindo huo katika Biblia ya Kiebrania. Katika Biblia ya Kikristo kitabu maarufu zaidi cha namna hiyo ni Ufunuo wa Yohane. Jina la mtindo huo linatokana na lile la Kigiriki la kitabu hicho, ἀποκάλυψις, linalotamkwa: apokálupsis.

Kwa jumla, mtindo huo unasimulia njozi au ndoto za Kimungu zilizodaiwa kumfunulia mwandishi siri kuhusu mwisho wa nyakati unaotarajiwa kuleta ukombozi na kuhusu mambo ya ahera. Mara nyingi ujumbe uliletwa na malaika. Lengo ni kuwapa tumaini waamini walio katika dhuluma.

Mtindo huo ulitumia mifano mingi ya kifumbo (namba, viumbehai pengine wa kutisha n.k.) ukionyesha vita kati ya Mwenyezi Mungu na shetani

Vitabu vingi vya mtindo huo havikukubaliwa kama Neno la Mungu vikabaki nje ya Biblia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  •  This article incorporates text from a publication now in the public domain: Charles, Robert Henry (1911). "Apocalyptic Literature" . Katika Chisholm, Hugh (mhr.). Encyclopædia Britannica. Juz. la 2 (tol. la 11th). Cambridge University Press. ku. 169–175. {{cite encyclopedia}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  • Charlesworth, James H. ed., The Old Testament Pseudepigrapha, Vol. 1: Apocalyptic Literature and Testaments, Gsrden City, New York: Doubleday & Co., 1983.
  • Collins, John Joseph The Apocalyptic Imagination: An Introduction to Jewish Apocalyptic Literature, (The Biblical Resource Series), Grand Rapids: Eerdman, 1998 (second edition).
  • Coogan, Michael A Brief Introduction to the Old Testament, Oxford: Oxford University Press 2009.
  • Cook, David, Contemporary Muslim Apocalyptic Literature (Religion and Politics), Syracure, NY: Syracuse University Press, 2005.
  • Cook, Stephen L., The Apocalyptic Literature: Interpreting Biblical Texts, Nashville: Abingdon Press, 2003.
  • Frye, Northrop, 1957. Anatomy of Criticism: Four Essays, Princeton, Princeton University Press, 1957.
  • Goswiller, Richard, Revelation, Pacific Study Series, Melbourne, 1987.
  • Reddish, Mitchell G. Apocalyptic Literature: A Reader, Peabody, Massachusetts: Hendrickson Publishers, 1998.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtindo wa kiapokalipti kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.