Nenda kwa yaliyomo

Mthunzi Ntoyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mthunzi Ntoyi
Amezaliwa Mthunzi Ntoyi
3 machi 1986
Afrika kusini
Nchi Afrika kusini
Majina mengine Mthunzi Ntoyi
Kazi yake Muigizaji

Mthunzi Ntoyi (alizaliwa mnamo tarehe 3 Machi 1986), ni mwigizaji wa nchini Afrika Kusini.[1]Anafahamika vyema kutokana na uhusika wake katika filamu kama vile Thula's Vine, Intersexions na Taryn & Sharon.Tofauti na uigizaji, pia kwa upande mwingine pia ni mwanamuziki na mchekeshaji wa majukwaani.

Maisha Yake

[hariri | hariri chanzo]

alizaliwa mnamo tarehe 3 Machi 1986 nchini Afrika Kusini.[2]

Kabla hajaingia kwenye tamthiliya, alisoma na kupata mafunzo yake ya ubunifu uchumi huko AFDA.[1]

Pia alionekana katika jukumu dogo na la kuunga mkono katika mfululizo wa vipindi vya televisheni kama Khululeka, Montana, Intersexions, Stash, Single Galz, Sokhulu & Partners, The Wild, Scandal!, Home Affairs na The Lab. Mnamo mwaka 2014, alicheza katika nafasi ya 'Zola Yili' katika tamthiliya ya SABC1 Montana.Halafu akachaguliwa kushika nafasi ya 'Waka' kwenye filamu ya Mzansi Magic soapie Zabalaza.Jukumu hilo likawa maarufu sana hata kujirudia katika misimu mitatu.


Maonyesho ya Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Disney Cookabout as Sous Chef Mthunzi
  • Home Affairs as Guy Student 1
  • Intersexions as Ntando
  • Lockdown as Njabulo
  • Montana as Zola Yili
  • Scandal! as Sijo
  • Single Galz as Finite
  • Sober Companion as Comedian
  • Stash as Sox
  • Stokvel as Bongani
  • Taryn & Sharon as Charles
  • The Wild as Papi
  • Thula's Vine as Sizwe
  • Thuli noThulani as Zuko
  • Zabalaza as Waka
  1. 1.0 1.1 "Mthunzi Ntoyi bio". tvsa. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "#Kellman – I AM Mthunzi Ntoyi". Cliff Central. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mthunzi Ntoyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.