Msikiti wa Taifa wa Abuja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Msikiti wa Taifa wa Abuja

Msikiti wa Taifa wa Abuja, pia unajulikana kama Msikiti wa Taifa wa Nigeria, ni jina la kutaja msikiti mkubwa wa taifa huko nchini Nigeria, nchi yenye Waislamu wengi waliothabiti barani Afrika. Msikiti ulijengwa mnamo mwaka wa 1984[1] na u-wazi hata kwa umma ambao si Waislamu, kasoro katika sala za masheha tu. Ustadhi Musa Mohammed ndiye imamu mkuu katika msikiti huu.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Abuja National Mosque. ArchNet. Massachusetts Institute of Technology. Iliwekwa mnamo 2007-08-08.
  2. Ozoemena, Charles. "Sallah: Obasanjo hosts Atiku, others", Vanguard online, Vanguard Media Limited, 2005-11-03. Retrieved on 2007-08-08. Archived from the original on 2007-10-09. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Abuja

Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: