Nenda kwa yaliyomo

Mr Doodle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sam Cox (alizaliwa 1993 au 1994), anayejulikana kwa jina la kisanii Mr Doodle, ni mchoraji picha na msanii wa Uingereza kutoka Kent[1]. Anajulikana kwa mtindo wake wa "graffiti spaghetti", na mwaka 2024 alikuwa na maonyesho katika Makumbusho ya Holburne huko Bath[2] .

  1. Al Mustaqeem, Syraat (3 Oktoba 2022). "Mr Doodle: The Kent man who doodled his entire house". Evening Standard. Iliwekwa mnamo 12 Septemba 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Morris, Steven (4 Mei 2024). "Henry Moore's miniature sculptures celebrated in Bath show". The Guardian. Iliwekwa mnamo 12 Septemba 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mr Doodle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.