Mpira wa ufukweni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mpira wa ufukweni

Mpira wa ufukweni (kwa Kiingereza "beachball") ni mpira ambao unatumika kuchezea karibu na maji ya baharini kwenye maeneo ya ufukwe.

Watu wanapendelea sana mchezo huu wakati wakiwa ufukweni wakicheza kwenye maji katika vipindi vya kiangazi.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mpira wa ufukweni kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.