Moustapha Soumaré
Mandhari
Moustapha Soumaré ni Naibu Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini.
Kabla ya uteuzi huo wa tarehe 24 Desemba 2014 uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, Soumaré aliwahi kuhudumu kama Naibu Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Secretary-General Appoints Moustapha Soumaré of Mali Deputy Special Representative (Political) in Republic of South Sudan | Meetings Coverage and Press Releases". www.un.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-16.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moustapha Soumaré kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |