Nenda kwa yaliyomo

Moussa Djenepo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moussa Djenepo (alizaliwa 15 Juni 1998) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Mali anayekipiga kama winga au beki wa kushoto katika klabu ya Esteghlal FC ya Iran na pia anawakilisha timu ya taifa ya Mali.[1][2]

  1. "Updated squad lists for 2022/23 Premier League". Premier League. 4 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Moussa Djenepo Biography". Southampton F.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-05. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moussa Djenepo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.