Safu ya milima
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mountain range)
Safu ya milima ni msururu wa milima iliyokaribiana[1]. Milima hiyo hutenganishwa na nyanda za juu au mabonde.
Mifano ya safu za milima ni kama vile, Safu ya Aberdare, Milima Atlas, Alpi na Himalaya. Safu nyingi za milima duniani zilitokea kama milima kunjamano.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mountains Information and Facts". Iliwekwa mnamo 2018-04-28.
{{cite web}}
: Text "National Geographic" ignored (help)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|