Mounir Khairallah
Mandhari
Mounir Khairallah (alizaliwa Mtah-Ezziat, Lebanoni, 2 Januari 1953) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kimaroni ambaye amehudumu kama Askofu wa Kikatoliki Maronite wa jimbo la Batroun tangu tarehe 16 Januari 2012.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ press.catholica.va Archived 2012-07-13 at Archive.today
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |