Nenda kwa yaliyomo

Mostafa Mohamed (mchezaji mpira)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mostafa Mohamed

Mostafa Mohamed Ahmed Abdallah (alizaliwa 28 Novemba 1997) ni mchezaji wa soka wa kitaaluma wa Misri anayekipiga kama mshambuliaji kwa klabu ya Nantes katika Ligue 1 na pia kwa timu ya taifa ya Misri.[1][2]

  1. "صور.. بعد 15 دقيقة.. مصطفى محمد يتقدم للزمالك بهدف فى مرمى دجلة.. فيديو". اليوم السابع. 2020-01-28. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
  2. "صور.. مصطفى محمد يقود الزمالك لعبور أسوان بهدف فى الشوط الأول". اليوم السابع. 2020-01-02. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mostafa Mohamed (mchezaji mpira) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.