Mostafa Mir-Salim
Mandhari
Mostafa Mir-Salim (Kiajemi: مصطفی میرسلیم; alizaliwa 10 Juni 1947)[1] ni mhandisi na mwanasiasa mhafidhina wa Iran. Kwa sasa ni mwanachama wa Baraza la Utambuzi wa Maslahi ya Mfumo (Expediency Discernment Council). Kabla ya hapo, alikuwa mbunge katika Bunge la Iran (Islamic Consultative Assembly) kuanzia mwaka 2020 hadi 2024.
Alikuwa mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa urais wa Iran wa mwaka 2017 ambapo alishika nafasi ya tatu baada ya kupata asilimia 1.16 ya kura zote.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "مجمع تشخیص مصلحت نظام".[dead link]
- ↑ Kumaraswamy, P. R.; Quamar, Md. Muddassir; Singh, Manjari (2019). Persian Gulf 2018: India's Relations with the Region. Singapore: Palgrave Macmillan. uk. 60. ISBN 978-981-13-1977-8.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mostafa Mir-Salim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |