Moshood Abiola
Mandhari
Moshood Kashimawo Olawale Abiola GCFR, pia anajulikana kama M. K. O. Abiola (24 Agosti 1937 – 7 Julai 1998) alikuwa mfanyabiashara mkubwa, mchapaji wa magazeti, na mwanasiasa wa Nigeria. Alikuwa kiongozi wa heshima wa kijeshi wa juu wa Dola la Oyo na mfalme wa ukoo wa Egba.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "REMEMBERING ABIOLA, 15 YEARS AFTER". National Mirror. 6 Julai 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 26 Machi 2017.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link) - ↑ "Are Ona Kakanfo's origin, myth and power by Prof. Banji Akintoye – Vanguard News". Vanguard News (kwa American English). 22 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 2018-08-15.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Moshood Kashimawo Olawale Abiola | Nigerian entrepreneur and politician". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-25.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moshood Abiola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |