Nenda kwa yaliyomo

Moses Machali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moses Joseph Machali (alizaliwa 9 Agosti 1981) ni mwanasiasa wa Chama cha Kitaifa cha Ujenzi na Mageuzi NCCR–Mageuzi nchini Tanzania na ni Mbunge wa jimbo la Kasulu Mjini kuanzia 2010 hadi 2015.[1]

Mnamo Julai 2015, alihama kutoka chama cha NCCR–Mageuzi kwenda kwenye Umoja wa Mageuzi na Uwajibikaji.

  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 12 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moses Machali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.