Nenda kwa yaliyomo

Moses Effiong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moses Effiong (4 Oktoba 195926 Januari 2025) alikuwa mchezaji wa soka wa Nigeria aliyekuwa mlinda mlango wa timu ya taifa ya Nigeria.

Alishinda Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1980 akiwa na timu ya Nigeria.[1][2]

  1. Aiyejina, Tana (22 Machi 2015). "35 years after, where are 1980 Nations Cup heroes?". The Punch. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 25 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Former Super Eagles goalkeeper dies
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moses Effiong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.