Morris Michtom
Mandhari
Morris Michtom (12 Septemba 1869 – 21 Julai 1938) alikuwa mfanyabiashara na mvumbuzi aliyezaliwa Urusi. Pamoja na mke wake Rose, ambaye pia alikuwa Myahudi kutoka Urusi aliyehamia Brooklyn, alianzisha kampuni ya Ideal Novelty and Toy Company.
Michtom alipata wazo la kutengeneza teddy bear mwaka 1902,[1] wakati huohuo ambapo Richard Steiff nchini Ujerumani naye alipata wazo la dubu wa kuchezea mwenye viungo vinavyosogea. Baada ya kifo cha Michtom, kampuni hiyo ilikuja kuwa kampuni kubwa zaidi ya kutengeneza wanasesere nchini Marekani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(http://www.jewishvirtuallibrary.org/jsource/biography/Michtoms.html) "Rose and Morris Michtom and the Invention of the Teddy Bear"]. American Jewish Historical Society. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2011.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)[dead link]
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Morris Michtom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |