Nenda kwa yaliyomo

Morravey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniella Ibinabo Daniel ( alizaliwa tarehe 13 Machi 2004), anayejulikana kitaaluma kama Morravey, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria.[1]

Anajulikana zaidi kwa kushiriki katika wimbo wa Davido wa mwaka 2023 uitwao “In the Garden”, ambao uliingia kwenye chati ya TurnTable Top 100. Mwaka huohuo, alisaini mkataba na Sony Music Africa na kutoa EP yake ya kwanza iitwayo Ravi, ambayo ilifikia nafasi ya 33 kwenye chati ya TurnTable Top 50.[2]

  1. Michelle Ejiro (Novemba 30, 2023). "Morravey's Journey To Long-Lasting Fame Is Just Beginning". Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Michelle Ejiro (Novemba 30, 2023). "Morravey's Journey To Long-Lasting Fame Is Just Beginning". Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Morravey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.