Nenda kwa yaliyomo

Morgan Schneiderlin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morgan Schneiderlin

Morgan Schneiderlin (amezaliwa 8 Novemba, 1989 katika mji wa Obernal huko Ufaransa) ni mchezaji wa mpira wa miguu akiichezea klabu maarufu ya nchini Uingereza Manchester United.

Alianzia timu ya Rc Strasbourg[hariri | hariri chanzo]

Schneiderlin alianzia kucheza soka katika timu ya nyumbani Rc Strasbourg Mwaka 2005 na mwaka mmoja baadae aliichezea timu ya wakubwa

Southampoton yamchukua Kutoka Ufaransa[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2008 alihamia Southampoton kwa dau la pauni 1 million alicheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Cardiff City Agosti 9,2008 wakati huo Southampton ilikuwa ligi kuu daraja la kwanza alifunga bao lake la kwanza tar 13 Aprill 2010 katika pambano dhidi ya Bristol Rovers waliloshinda 5 kwa 1 alifunga tena bao la mita 35 dhidi ya Nottingham Forest

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Morgan Schneiderlin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.