Mona Makram-Ebeid
Mandhari
Mona Makram-Ebeid (alizaliwa 20 Machi 1943 mjini Qena) ni mwanasiasa na msomi wa Misri.Ebeid ni Profesa wa Sayansi ya Siasa na Sosholojia ya Kisiasa katika Chuo Kikuu cha Marekani cha Cairo (AUC). [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The International Who's Who of Women, 3rd ed., Europa Publications: London, 2002, p.357
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mona Makram-Ebeid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |