Molly Bee
Mandhari
Molly Bee(alizaliwa kama Mollie Gene Beachboard 18 Agosti, 1939 – amefariki 7 Februari, 2009) alikuwa mwimbaji wa muziki wa country kutoka Marekani, maarufu kwa rekodi yake ya mwaka 1952 ya wimbo wa sikukuu "I Saw Mommy Kissing Santa Claus", na kama msaidizi wa Pinky Lee kwenye kipindi "The Pinky Lee Show".[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nelson, Valerie J. (2009-02-11). "Country singer Molly Bee dies at 69". Articles.latimes.com. Iliwekwa mnamo 2010-08-09.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Molly Bee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |