Nenda kwa yaliyomo

Mohammed ibn Nasir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sidi Mohammed ibn Nasir au kwa jina lake kamili Mohammed ibn Mohammed ibn Ahmed ibn Mohammed ibn al-Hussayn ibn Nasir ibn Amr abu Bakr al-Dar'i al-Aghlani (16031674) alikuwa mwanachuoni wa Kisufi wa Moroko na mwanzilishi wa kituo cha kidini cha Nasiriyya (zawiyya) huko Tamegroute. [1]

  1. For more information in the scholarly influence of the Nasiriyya, "Sufi networks and the Social Contexts for Scholarship in Morocco and the Northern Sahara, 1660-1830" by David Gutelius. In "The Transmission of Learning in Islamic Africa Archived 2007-07-16 at the Wayback Machine ed. Scott Reese. Leiden: Brill Academic Press, 2004.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohammed ibn Nasir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.