Mohammed bin Salman
Mandhari
Mohammed bin Salman bin Abdulaziz al-Saud (kwa Kiarabu: محمد بن سلمان بن عبدالعزيز آل سعود; Muḥammad bin Salmān bin ‘Abd al-‘Azīz Āl Sa‘ūd; anajulikana kama MBS; amezaliwa 31 Agosti 1985) ndiye mrithi wa taji la Saudi Arabia. Aliteuliwa na baba yake, Mfalme Salman mnamo Juni 2017.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohammed bin Salman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |