Mohamed Hamisi Missanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mohammed Hamisi Missanga)

Mohamed Hamisi Missanga (amezaliwa 15 Machi, 1945) ni mbunge wa jimbo la Singida Kusini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mohamed Hamisi Missanga". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.