Nenda kwa yaliyomo

Mohammed Bagayogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammed Bagayogo Es Sudane Al Wangari Al Timbukti (15231593) alikuwa msomi kutoka Timbuktu, katika Dola la Songhai. Bagayogo alikuwa miongoni mwa watu wa Juula, ambao ni kabila la Mande linaloundwa na wafanyabiashara na wasomi. [1]

  1. Hunwick, John (2003). "Timbuktu: A Refuge Of Scholarly And Righteous Folk". Sudanic Africa. 14: 16. ISSN 0803-0685. OCLC 9973518782. S2CID 160221532.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohammed Bagayogo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.