Mohammed ʽEissa al-Muʼadab
Mandhari
Mohammed ʽEissa al-Muʼadab (kwa Kiarabu: محمد عيسى المؤدب) ni mwandishi kutoka Tunisia, aliyezaliwa mwaka 1966.
Miongoni mwa vitabu vyake ni:
- Harusi ya Moto (Wedding of Fire) – mkusanyiko wa hadithi fupi, 1995, ulioshinda Tuzo ya Taifa ya Hadithi Fupi ya Tunisia.
- Mimi ni Mwanamke Gani? (Which Woman Am I?) – mkusanyiko wa hadithi fupi, 2013.
- Jihadi Laini (Soft Jihad) – riwaya, 2017, iliyoshinda Tuzo ya Golden Comar ya Tunisia 2017.
- Hammam Dhahab (Bafu la Dhahabu) – riwaya, 2019, iliyoteuliwa kuwania Tuzo ya Arabic Booker.Marejeo.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Al Kutub
- ↑ "Hammam Dhahab | International Prize for Arabic Fiction". www.arabicfiction.org. Iliwekwa mnamo 2022-04-10.
- ↑ "Banipal (UK) Magazine of Modern Arab Literature - Contributors - Mohammed Eissa al-Mu'adab". www.banipal.co.uk. Iliwekwa mnamo 2022-04-10.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohammed ʽEissa al-Muʼadab kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |