Nenda kwa yaliyomo

Mohammad Zahir Shah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammad Zahir Shahːˈ(15 Oktoba 1914 – 23 Julai 2007) alikuwa mfalme wa mwisho wa Afghanistan, alitawala kuanzia tarehe 8 Novemba 1933 hadi alipopinduliwa mnamo tarehe 17 Julai 1973.[1] Akiongoza kwa karibu miaka 40, Zahir Shah alikuwa mtawala aliyedumu kwa muda mrefu zaidi madarakani katika Ufalme wa Afghanistan tangu kuanzishwa kwa Dola ya Durrani mnamo karne ya 18.

  1. "Profile: Ex-king Zahir Shah". 1 Oktoba 2001 kutoka news.bbc.co.uk.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohammad Zahir Shah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.