Mohammad Rashad Al Matini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammad Rashad Al Matini ni waziri wa zamani wa uchukuzi wa Misri. Alikua kwenye Wadhifa huo kuanzia tarehe 2 Agosti 2012 hadi kujiuzulu kwake baada ya ajali ya reli ya Manfalut tarehe 17 Novemba 2012. [1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Al Matini alifanya kazi kama profesa wa uhandisi wa ujenzi katika Chuo Kikuu cha Cairo . [2] Pia aliwahi kuwa mshauri katika wizara mbalimbali zinazohusiana na taaluma yake. [3]

Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Egyptian school bus crashes with train, killing 50, transportation minister resigns". Retrieved on 9 December 2012. 
  2. "Egypt's newly appointed cabinet". American Chamber of Commerce in Egypt. August 2012. Iliwekwa mnamo 9 December 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Egypt's government: It's time to get to know the ministers". Egypt Business. 5 August 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 November 2012. Iliwekwa mnamo 9 December 2012.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohammad Rashad Al Matini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.