Mohamed Zubya
Mandhari
Mohamed Noureddine Abdusalam Zubya (kwa Kiarabu: محمد نور الدين عبد السلام زعبية; alizaliwa 20 Machi 1989) ni mchezaji wa soka kutoka Libya anayekipiga katika klabu ya Al-Ittihad Tripoli.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Al Ittihad's Zubya banned by Caf . BBC News (2007-07-31). Retrieved on 2012-01-21.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Zubya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |