Mohamed Salah Mzali
Mandhari
Mohamed Salah Mzali (11 Februari 1896 – 22 Novemba 1984) alikuwa mwalimu, mwanahistoria na mwanasiasa wa Tunisia.
Aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tunisia kwa kipindi kifupi mwaka 1954 chini ya utawala wa Muhammad VIII al-Amin.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mzali, Mohamed-Salah; Mzali, Muhammad Salah (1969). L'hérédité dans la dynastie husseinite: evolutions et violationis (kwa Kifaransa). Maison Tunisienne de l'Edition.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Salah Mzali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |