Mohamed Raza Hassanali Dharamsi
Mandhari
Mohamed Raza Hassanali Dharamsi (aliyezaliwa 18 Julai 1962), almaarufu Mohamed Raza, alikuwa mfanyabiashara Mzanzibari na mwanasiasa wa CCM aliyewakilisha jimbo la Uzini katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Raza Hassanali Dharamsi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |