Mohamed Nasheed
Mandhari

Mohamed Nasheed GCSK (Akijulikana kama Anni (Dhivehi) 17 Mei 1967) ni mwanasiasa, mwanaharakati na aliyekuwa Raisi wa Maldivian kutoka 2008 mpaka kujiuzulu mwaka 2012.[1] [2] Mwanachama mwanzilishi wa Chama cha Kidemokrasia cha Maldives (Maldivian Democratic Party),[3] baadaye alitekeleza majukumu ya kuwa spika wa 19 wa People's Majlis kuanzia Mei 2019 hadi alipojiuzulu Novemba 2023.[4][5] Yeye ndiye rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia wa Maldives na ndiye rais pekee aliyejiuzulu madarakani.
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Nasheed alizaliwa huko Malé, Maldives, katika familia ya tabaka la kati. Alihudhuria Shule ya Majeediyya huko Maldives kuanzia mwaka 1971 na mwaka 1981.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ramesh, Randeep (29 Oktoba 2008). "Human rights activist wins Maldives presidential election". The Guardian. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 15 Desemba 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 Aitkenhead, Decca (1 Aprili 2012). "'Dictatorship is coming back to the Maldives and democracy is slipping away'". The Guardian. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 24 Mei 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ramesh, Randeep (29 Oktoba 2008). "Human rights activist wins Maldives presidential election". The Guardian. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 15 Desemba 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nasheed chosen as consensus candidate for speaker". Maldives Independent. 28 Mei 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Zalif, Zunana (13 Novemba 2023). "Nasheed resigns from post of parliament Speaker". Raajje TV. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2023.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Nasheed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |